Settings
Light Theme
Dark Theme

AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.
Feb 3, 2017 · 14m 42s

Muda umekuwa ni changamoto na kikwazo kwa wengi kufikia malengo yao ya kimaisha. Kila siku tumekuwa tunasema kama ningekuwa na muda wa ziada ninge.... Lakini siku zinakwenda na hatuoni kupatikana...

show more
Muda umekuwa ni changamoto na kikwazo kwa wengi kufikia malengo yao ya kimaisha. Kila siku tumekuwa tunasema kama ningekuwa na muda wa ziada ninge.... Lakini siku zinakwenda na hatuoni kupatikana kwa muda huo wa ziada. Tunaamua kuzika ndoto zetu kwa sababu hatukupata muda wa kuzifanyia kazi. Vipi leo nikikuambia kwamba unaweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku? Ndiyo namaanisha masaa mawili, dakika 120 za ziada kwenye siku yako ya kawaida? Ni mangapi makubwa utaweza kuyafanya na kubadili kwenye maisha yako kwa nyongeza ya masaa mawili kila siku? Kwenye kitabu hiki siyo tu ninakuambia ya kwamba unaweza kupata masaa mawili ya ziada, bali ninakuonesha hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kupata hayo masaa mawili ya ziada kila siku kwenye maisha yako. Nitakushirikisha mbinu bora za kuweza kutunza na kutumia vizuri muda wako kila siku, ili uache kusingizia muda kama sababu ya wewe kushindwa kuishi ndoto zako. Baada ya kukuwezesha kuyapata masaa mawili ya ziada kwenye siku yako, sitakuacha nayo halafu uyapoteze, badala yake nitakushauri njia bora za kutumia masaa hayo mawili ya ziada kila siku, uweze kubadili maisha yako na kuwa bora zaidi. Unapokuwa bora basi mafanikio ni uhakika kwako. Karibu twende pamoja kwenye kitabu hiki ili tujifunze njia bora za kutunza na kutumia muda wetu ili kuishi maisha ya mafanikio. Rafiki na Kocha wako, Makirita Amani, makirita@kisimachamaarifa.co.tz www.kisimachamaarifa.co.tz www.amkamtanzania.co.tz
show less
Information
Author Dr Makirita Amani
Website -
Tags

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search