Settings
Light Theme
Dark Theme

Ndoto Bila Malengo Hubaki Kuwa Ndoto . Episode 5 - Kweligraphy

Ndoto Bila Malengo Hubaki Kuwa Ndoto . Episode 5 - Kweligraphy
Jan 21, 2019 · 5m 27s

Sasa unatakiwa kuanza tena upya, umepoteza mchezo, umefeli mtihani, deal uliyoitegemea kutick imekuangusha, Ohh Mungu! Umeishi miaka yako yote ukiamini ipo siku utatusua na hiyo siku bado haionekani. Unaamka kila...

show more
Sasa unatakiwa kuanza tena upya, umepoteza mchezo, umefeli mtihani, deal uliyoitegemea kutick imekuangusha, Ohh Mungu! Umeishi miaka yako yote ukiamini ipo siku utatusua na hiyo siku bado haionekani. Unaamka kila asubuhi kwenda kutafuta uweke kitu mezani familia ipate kupishana chooni lakini bado una ile ndoto, ndoto ambayo unaiota ukiwa macho, ndoto ambayo inakuwinda kila uendapo kana kwamba ni jinamizi. Kila ukijaribu kuisahau baada ya muda inakuja tena kubisha hodi. Hakuna anayekuelewa unapoihadithia kwa watu wako wa karibu....
show less
Information
Author Said Kweli
Website -
Tags

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search