Contacts
Episodes & Posts
Episodes
Posts
6 MAY 2018 · Teknolojia imefanya maisha yawe mazuri, mepesi na kufurahisha sana. Leo daktari akiwa nyumbani kwake anaweza kumfanyia diagnosis mgonjwa aliye kwake, kiziwi anaweza kuwasiliana na watu wengine kwa kuchomekewa kifaa cha wireless kinachomwezesha kusikia, tunaweza kula, kuvaa, kusafiri, kukutana, kuuza na kununua kwa kusukuma tu kitufe cha simu. Maisha yamebadilika sana ukilinganisha na miaka 15 iliyopita, lkn je ni kweli maisha ya siku za baadae yanafurahisha kama tunavyoaminishwa?? Je kuna mtu atabaki salama??, je kuna makampuni yatabaki salama??, vipi kuhusu baadhi ya nchi masikini kama TZ??
Information
| Author | Robhin Thomas Edson |
| Organization | Robhin Thomas Edson |
| Categories | News |
| Website | roryafinest.com |
| tupakule@gmail.com |
Copyright 2026 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company