Info
The word of encouragement
Episodes & Posts
Episodes
Posts
11 MAY 2026 · Warumi 8:37
[37]Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
18 NOV 2025 · Zaburi 119:99-100
[99]Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote,
Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo.
[100]Ninao ufahamu kuliko wazee,
Kwa kuwa nimeyashika mausia yako.
23 SEP 2025 · Maombi siyo swala la siku moja, Bali ni jambo ambalo unapaswa kulifanya Kila siku, Kila wakati, Kila mara.
Luka 18:1
[1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.
23 SEP 2025 · Kijana wa Kizazi hiki ili maisha yako yako yawe salama unapaswa kuongozwa na neno la Mungu.
Zaburi 119:9-11
[9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?
Kwa kutii, akilifuata neno lako.
[10]Kwa moyo wangu wote nimekutafuta,
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
[11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.
21 SEP 2025 · Yeremia 29:12
[12]Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Then shall ye call upon me, and ye shall go and pray unto me, and I will hearken unto you.
Mungu anatarajia kwamba tutamwendea Kwa njia ya maombi, tunapochukua hatua ya kuomba, yeye yupo tayari kutusikiliza, hivyo chukua hatua ya kuomba Sasa naye(MUNGU) atakujibu.
20 SEP 2025 · Kama vile mwili ulivyo na mahitaji yake mbalimbali ili uweze kustawi na kuwa na afya bora, ndivyo roho yako ilivyo na mahitaji yake ambayo yakipatikana yatasababisha roho yako iwe na afya nzuri.
Karibu ujifunze pamoja nani.
13 JUN 2025 · Yohana 8:36
[36]Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
11 JUN 2025 · 1 Wathesalonike 4:4
[4]kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima;
15 SEP 2024 · Ni baraka na jambo jema sana kuhudumu pamoja na mwenza wako. Kama Mungu amewapa vipawa na huduma basi vitumike Kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
4 JUL 2024 · Ili uweze kuona matokeo kwenye kile ambacho unakifanya, unahitaji msaada kutoka Kwa Mungu.
The word of encouragement
Information
| Author | Exavery Nduye |
| Organization | Exavery Nduye |
| Categories | Religion & Spirituality |
| Website | - |
| - |
Copyright 2026 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company