Settings
Light Theme
Dark Theme

Maarifa ya Asili (Utangulizi)

Maarifa ya Asili (Utangulizi)
Feb 4, 2024 · 1h 26m 27s

Gnosis siyo dini kana kwamba watu wake ni wa kutafuta kukusanya watu na kuanzisha nyumba za ibada. Gnosis ni maatifa ya ndani ambayo huambatana na juhudi katika natendo hata kupata...

show more
Gnosis siyo dini kana kwamba watu wake ni wa kutafuta kukusanya watu na kuanzisha nyumba za ibada. Gnosis ni maatifa ya ndani ambayo huambatana na juhudi katika natendo hata kupata matokeo chanya. Wana-gnosis tunaheshimu dini zote maana tunapotizama mafundisho yake tunakuta ni kivuli ya majukumu ambayo kila mwana-gnosis hupaswa kupitia yaani njia yenyewe ya kuelekea nuruni. Njia ya Gnosis haijihusishi na kunyoshea watu vidole wala hatujikwezi ya kwamba sisi ni bora kuliko yeyote. Tunatambua jukumu la kubadilika sisi kwanza ili wengine nao wabadilike na siyo kupambana kuona mabovu ya wengine huku ya kwetu hatuyaoni. Kila mwana-gnosis huipita njia ya maarifa hatua kwa hatua, kupanda na kushuka hata kuufikia ukamilifu. Pamoja na kwamba mwana-gnosis atafikia kizio cha juu ya utimilifu, hakupo kujikweza kusema kwamba yeye ni bora kuliko fulani. Vilevile ni siri ya mtu kusema kizio alichofikia kwa maana kizio afikiacho mtu ni ya ndani yake na wala hakihusiani na mwili huu wa uharibifu. Ndiyo maana tunajifunza maarifa ya ndani ambayo hayahusiani kabisa na maarifa ya akili (intellectual mind).

Utajifunza maarifa yatokanayo na utu wa ndani kwa faida za nafsi yako. Kwa maana ni muhimu sana kuyafahamu maarifa ya ndani yako na mengine yote huja kama mshahara wa ufahamu wako juu ya Muumba aliye ndani yako. Maarifa haya siyo yale yaliyozoeleka yaani ya mwili ama ya kiakili, la hasha. Pamoja na yoye, ni kwamba tunatumia mwili kama ni mlango wa kutupitisha kule tuendako kwa maana tupo kwenye miili kwa kusudi maalumu.
show less
Comments
Hussein M. George

Hussein M. George

1 week ago

Asante sana kwa hiki unachofundisha asante kwa haya maarifa Asili ikuhifadhi ili watu wengi wapate kufunguka kupitia wewe
Information
Author Tanzania Gnosis
Website -
Tags
-

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search