JINSI YA KUEPUKA KUTAPELIWA NA FURSA MPYA.

Feb 15, 2017 · 14m 39s
JINSI YA KUEPUKA KUTAPELIWA NA FURSA MPYA.
Description

Kila siku kuna fursa mpya zinazoibuka, baadhi ya fursa hizo ni za kweli na nyingi ni za uongo na utapeli. Watu wengi wameumizwa na fursa walizokimbilia wakifikiri wamepata, wakaishia kuwanufaisha...

show more
Kila siku kuna fursa mpya zinazoibuka, baadhi ya fursa hizo ni za kweli na nyingi ni za uongo na utapeli. Watu wengi wameumizwa na fursa walizokimbilia wakifikiri wamepata, wakaishia kuwanufaisha wengine. Kwenye kipindi cha leo nakwenda kukushirikisha namna ya kuepuka kutapeliwa na fursa mpga. Jifunze upate maarifa sahihi na uweze kufanya maamuzi sahihi.
show less
Information
Author Dr Makirita Amani
Organization Dr Makirita Amani
Website -
Tags
-

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Podcast Cover

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search