28 APR 2017 · Habari, Karibu tena kwenye Podcast yangu naitwa Said Kweli, ni mjasilia mali kijana wa karne hii, kama kawaida yangu ya kushare positive.
25 APR 2017 · Habari, naitwa Said Kweli, Karibu kwenye Podcast yangu kwa mara nyingine tena, leo nazungumzia mitandao ya kijamii na utumiaji wake, kama kichwa cha habari kinavyoonekana kikisema, #unatumiaje_mitandao_ya_kijamii. Karibu kusikiliza