7 OCT 2021 · .... Genevieve anafanikiwa kuondoka nyumbani kuelekea kazini Ambapo anakutana na vijana wengine wawili walioletwa na Maria ili kusaidia kazi....
4 OCT 2021 · ....mama genevieve anamuamsha mwanaye kwa kummwagia maji usoni , lakini Genevieve anashtuka na kumkasiria mama Yake huku akimgombeza kwa kitendo kile alichokifanya...
30 SEP 2021 · ......mama Genevieve anasikia purukushani jikoni ambapo mbio na yeye anawahi kwenda ili kujionea Ni nini kinaendelea na ndipo anakutana na mwanaye akiwa anapasha maziwa.....
25 SEP 2021 · ... genevieve anarudi nyumbani kwa mama yake na pindi akielekea kuoga taswira hafifu ya mtu inamjia akilini.....je ni taswira ya nani hiyo???
25 SEP 2021 · ...baada ya kumaliza kuwahudumia wateja wao dukani , Genevieve na Maria waelekea palipo na mgahawa karibu na dukani kwao ili kuweza kula....