2 APR 2017 · Habari ndugu zangu, naitwa Romanus Sanga ni mtangazaji binafsi bado sina kituo cha kazi kwa yoyote ambaye atavutiwa na kazi yangu ..ani follow kwenye mitandao ya kijamii insta, Romyy Romeo na FB natumia Romanus Sanga ,mbali na kuwa Mtangazaji pia ni Mwandishi wa Hadithi ,Mtunzi na Mwigizaji ...nahitaji support yenu wapendwa