Settings
Light Theme
Dark Theme
Podcast Cover

PWANI HIP-HOP FLAVA Podcast

  • King Paraah Interview Pwani hiphop Podcast

    16 MAY 2022 · Pwanihiphopflava show | interview 002 Skiza kutoka kwa kp. , msanii wa pwani aliyekua akifanya hiphop wenye mdundo wa trap na baadae kubadilisha nakuamua kufanya Swahili rap. King paraah aliwezakujieleza mbona aliamua kubadilisha, nini kinamfanya anapambana, changamoto anazopitia, mafua anayopitia kama mwana mzikii, ndo zake zakuleta independent rapping na mengi..... Kp alihojiwa na T "Mikindani music blogger" na unaweza kuskiliza show zengine za Pwanihiphopflava katika link ulipewa :
    10m 49s
  • Pwani Hiphop PODCAST Interview With Asubuhi

    7 MAY 2022 · Kama vipi mambo poa 👋👋mambo barafu🤜🤜.. ni #Pwanihiphopflava hapa na kipindi cha mahojiano. Tulibahatika kua na the great ASUBUHI #swahilirap artist from aldina. Pliz usikose ku subscribe
    5m 40s
  • Pwanihiphopflava show| GUMZO -" KUKUZA SANAA " | Yt Patrol Rap Crew

    26 APR 2022 · Pwanihiphopflava show Gumzo🗣 na ytpatrol rap crew. Tuliongelelea sanaa ya muziki .. na vijana hawa walitueleza jinsi hao wanakuza sanaa yao siku baada ya siku. -Zoezi ya uandishi na pumzi ni bahadhi ya vitu wanazofanya ilimradi sanaa yao isonge. Tuachie maoni yako kuhusu gumzo tuliokua nayo
    14m 32s
  • Dakika tano za ujumbe | yt patrol rap crew

    25 APR 2022 · Kama vipi, ni Pwanihiphopflava na kipindi chengine cha #Dakika5zaujumbe. #🗣🎙💬 hapa msanii upewa dakika tano aweze kufreestyle .. ilimradi hiphop pwani isonge mbele💯💯 #Ep.5 tuli bahatika kuwa na rap crew from Mikindani "yt patrol" 🔥🔥🔥....walituwakilisha to the their fullest Top🚾
    6m 51s
  • Pwanihiphopflava show| Dakika tano za ujumbe na_Masakari_.mp3

    14 APR 2022 · Kama vipi, ni Pwanihiphopflava na kipindi chengine cha #Dakika5zaujumbe. #🗣🎙💬 hapa msanii upewa dakika tano aweze kufreestyle .. ilimradi hiphop pwani isonge mbele💯💯 #Ep.4 tuli bahatika kuwa na Producer Masakari💥💥💥 from Babaz records ambaye alituangushia moja kali.... Top🚾
    5m 19s
  • 15m
  • 15m
  • Pwanihiphopflava show || dakika tano za ujumbe na den delloh

    23 MAR 2022 · Pwanihiphopflava show #dakika5zaujumbe #dendelloh #swahilirap #dsbke
    5m 1s

Podikasti ya kila wiki mjini Mombasa inayojadili muziki wa hip-hop wa Pwani. Iwe ya nyumbani haijasikika au inajulikana sana, ikiwa ni GUD VIBE itachezwa kwenye kipindi chetu. Pia tunawasilisha washiriki,...

show more
Podikasti ya kila wiki mjini Mombasa inayojadili muziki wa hip-hop wa Pwani. Iwe ya nyumbani haijasikika au inajulikana sana, ikiwa ni GUD VIBE itachezwa kwenye kipindi chetu. Pia tunawasilisha washiriki, vikundi, wafanyakazi na vita katika maonyesho yetu. Utapata chati kumi bora, elimu ya hip-hop, na zaidi. Skiza sasa. Catchup every Saturday live and Tuesdays for new episodes
show less
Contacts
Information

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search