Settings
Light Theme
Dark Theme
Podcast Cover

Mimi Na Wewe English Means "Me And You"

  • Explicit

    Me And You

    26 DEC 2019 · Mwisho wa Mwaka 2019 ndio huu, ikiwa Leo ni alhamisi ya mwisho kabisa kwa Mwaka huu wa 2019 umeweza kufanikisha malengo uliyojiwekea kwa Mwaka huu? Je Changamoto ulizopitia zimekujenga ama kukuharibu na kukutoa kwenye mstari sahihi wa maisha?
    15m
  • Explicit

    Kabla Ama Baada Ya Chuo

    20 SEP 2019 · In studio today we have a guest friend of mine his name is Hamis Riziwan, visit us and discus about " before or after university? " What do you think university students to employ themselves when they are still in university or wait till they finish their study? So Hamis express his thought that it depend with a person what is in his mind because everyone know his capability of doing things Some will not and not be able to mix the study and business in university or college and some its not a problem to them Baada ya kuongea na Hamis yeye kwa mtazamo wake anaona ni vyema mtu kujichanganya na mambo mengi mengi kabla ya kumaliza chuo maana kuna wengi wamemaliza chuo na wapo mtaani hawana ajira hivyo ni vyema kujichanganya nao kwani maisha hayaja nyooka hivyo ni bora kujichanganya kabla ya kumaliza chuo ila kama mtu hawezi ni bora akamaliza chuo ndio akaingia kwenye biashara sababu kwenye biashara kuna mambo mengi: 1. Kukosa mtaji 2. Kuibiwa 3. Bidhaa kuungua moto 4. Mtaji kuishia njiani 5. Bidhaa kutokukubalika kwa watu kama ulivyotegemea Kujiajiri ni njia nzuri lakini pia ni njia Ngumu, biashara kufa, kuibiwa, kuzidiwa ushindani, changamoto ya mtaji, kua na idea zisizo fanya kazi, kuzidiwa na mkopo, wingi wa bidhaa sokoni....kama tunajiandaa kujiajiri tujiande kikamanda Kwa hivyo namna moja ama nyingine ni lazima kuwa makini endapo unapohitaji kujiajiri ukiwa chuo maana hakuna chepesi ndio maana unahitajika kujichanganya na walio kuwepo ambao walisha maliza na kuujua mtaa zaidi
    14m 59s
  • Explicit

    Mvutano Baina Ya Yericko Nyerere Na Kigogo2014

    20 SEP 2019 · Pamekuwa na mvutano katika mtandao wa Twitter baada ya kigogo2014 kusema kwamba mheshimiwa Mbowe amefanya ifisadi kwenye ruzuku za chama cha chadema Pia akatokea yericko kutaka kuona hizo document zinazoonesha ufisadi wa mheshimiwa mbowe Ikaenda mbali zaidi yericko kasema kigogo2014 anambwela maana toka mabadiliko yatokee mwandiko wake wa tweet ni kama wa vijana wa ACT- Wazalendo na kudai amesha mjua kigogo ni nani hivyo bado malumbano yanaendelea kwa kuwa hakuna anayemjua real kigogo ni nani Watu wengi wameshangwa na kwa nini kutangaza mgombea wa chama cha chadema bila kufuata taratibu maana mda wa kumtambulisha mgombea bado
    4m 42s
  • Explicit

    Episode 1 Iran Vs Saudi arabia

    20 SEP 2019 · Hivi karibuni Saudi Arabia ililipuliwa kituo chake cha kuhifadhia mafuta na silaha iliyotumika inasemekana inatoka Iran. Kwenye mlipuko hui umesababisha hasara na mataifa kama ya marekani kuonesha hasira za wazi wazi kwa Irani Leo father Monduli amejaribu kuliongeleo hill suala na hasara gani Saudi Arabia imeisababishia Yemen kwa kipindi cha miaka 4. Lakini pia nini ambacho Iran yenyewe imesema kwa kukanusha kuhusika na shambulio hilo
    6m 46s
Me and you, in Swahili means "Mimi na wewe" tunaangazia mambo mbalimbali ambayo Mimi na wewe tunayapitia katika safari yetu ya maisha ya kila siku.
Contacts
Information

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search