Settings
Light Theme
Dark Theme

Episode 4 – World after the coronavirus - Dunia baada ya corona

Episode 4 – World after the coronavirus - Dunia baada ya corona
Apr 24, 2020 · 21m 33s

Kwenye kipindi cha nne cha Ifahamu Corona tutasikia matarajio ya wataalmu juu ya athari za virusi vya corona kwa jamii. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo...

show more
Kwenye kipindi cha nne cha Ifahamu Corona tutasikia matarajio ya wataalmu juu ya athari za virusi vya corona kwa jamii. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr.i Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu hali ya corona duniani na tunatakiwa tufanye nini sasa hivi.

In the fourth episode of Anatomy of Corona, we will hear expert forecasts about how the coronavirus will affect societies. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the current global situation regarding the coronavirus and what all of us should do right now.
show less
Information
Author Suomen Podcastmedia
Website -
Tags

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search