Settings
Light Theme
Dark Theme
Podcast Cover

Lackson Tungaraza's show

  • A MESSAGE TO ALL FIRST YEAR UNIVERSITY STUDENTS - Tungaraza

    16 AUG 2018 · Vijana wengi sana wanaoingia Vyuoni huwa Wanaharibika Kimaadili kwa Sababu ya Kukosa Nasaha Njema Kabla ya kufika huko. Ndani ya Somo hili kuna Nasaha ya kukusaidia Wewe Kijana wa Kike na wa Kiume ili uweze Kukua, Kustawi, na Kuchanua Kiuchumi, Kielimu, Mahusiano N.k USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na Kushea hili Somo na Rafiki zako wa vyuo mbali mbali ili nao waweze KUJITAMBUA Mapema. Mawasiliano! 0764-793105 LACKSON TUNGARAZA https://lacksontungaraza.blogspot.com https://YouTube.com/c/lacksontungaraza
    37m 30s
  • MAISHA YA IMANI-Tungaraza

    6 AUG 2018 · Ili mtu aweze kufaidi vya Mungu, hana budi kuwa na Imani, pamoja na kuishi maisha ya Imani. Na huyo mtu ni wewe. Hivyo, sikiliza hili Somo ili ujue namna ya kuenenda na kufanikiwa kwa njia ya Imani inayoambatana na maisha yako
    22m 16s
  • TATIZO LA KUTOKUFANIKIWA AU KUENDELEA MBELE-IceFM

    19 DEC 2017 · TATIZO la Kutokufanikiwa au kuendelea mbele ni Mada ambayo Niliizungumzia katika redio ya Ice FM ya mkoani Njombe. Naamini ni ya muhimu sana katika maisha yako ya Kila Siku. USISAHAU ku_SUBSCRIBE 0764 793105 WhatsApp
    12m 32s
  • MALENGO YANAYOFIKIKA

    19 DEC 2017 · Tumekaribia Kumaliza mwezi pamoja na mwaka kwa ujumla, lakini ukijitathimini kwa umakini unagundua ya kwamba Hujafanikisha MALENGO yako kama ulivyotarajia. Leo SIKILIZA hii AUDIO ili Upangilie vyema MALENGO yako Kumaliza vyema huu mwaka na kuanza Vizuri MWEZI na mwaka ujao. USISAHAU Ku_SUBSCRIBE 0764793105 WhatsApp
    14m 41s
  • RELATIONSHIP WITH GOD-EAGT NZUGUNI

    17 OCT 2017 · Kuwa na USHIRIKA NA MUNGU sio jambo la kitoto kabisa, wala sio jambo la kulipata moja kwa moja kwa sababu tu ya kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Kuna namna ya kuutengeneza huo USHIRIKA pamoja na FAIDA ZAKE. Ni ujumbe ambao niliuzungumzia wakati Fulani katika kanisa la EAGT NZUGUNI Mjini Dodoma. Jifunze, usisahau Ku-SUBSCRIBE
    56m 17s
  • ICEFM_KWANINI WATU HAWAFANIKIWI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU_Part2

    15 OCT 2017 · kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa katika sehemu hii ya Pili. USISAHAU KU-SUBSCRIBE
    14m 59s
  • KWANINI WATU HAWAFANIKIWI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU-Tungaraza

    14 OCT 2017 · kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa
    14m 59s
  • NJIA MPYA YA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA _Tungaraza

    30 SEP 2017 · Sasa Unaweza Kutengeneza Kipato cha ziada Kupitia Mfumo huu mzuri wa Ununuzi na Uuzaji wa Vitabu vyangu. SIKILIZA Kujua Yaliyomo na Namna ya KUFANIKISHA yote hayo. Lackson Tungaraza 0764793105 Fb.com/ltungaraza
    6m 53s
  • USIRUDI NYUMA

    2 FEB 2017 · je umekata tamaa na hujui ufanye nini? je umekataliwa na sasa huoni thamani ya kuendelea kuishi? Jifunze kupitia AUDIO hii na Mungu atakugusa. -0764793105 whatsapp/call
    7m 17s
  • KIJANA NA SOKO LA AJIRA

    18 JAN 2017 · Kuna sababu lukuki zinazopelekea soko la ajira Tanzania na dunia kwa ujumla kuwa hivi lilivyo sasa. je unazijua? sikiliza audio hii kupata maarifa na ufahamu. Na Lackson Tungaraza. 0764793105/0652493878
    8m 16s

For quite long there was an inadequate Audio Source that helps people receive Inspirational and Motivational teachings. This Show will transform people's life, especially the Youth based on the information...

show more
For quite long there was an inadequate Audio Source that helps people receive Inspirational and Motivational teachings. This Show will transform people's life, especially the Youth based on the information I give out.

Purpose is the reason why something was Made. My Purpose is to see a new Youth Generation of Excellency. Releasing our Potentials, Exposing the Hidden us.

*Anyone can do something great, through Encouragement.*

Henry Ford once said,
*My Best Friend is the one who brings out the Best in Me*

By the power of God, I'll bring out the Best in You. Because we cannot judge a fish by its ability to climb a tree, it will live all its life knowing it's stupid.

knowledge is Power.
Next is Now.
NYI Founder,
Lackson Tungaraza.
+255764793105
show less
Contacts
Information

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search